iqna

IQNA

jamhuri ya azerbaijan
Waislamu Duniani
TEHRAN (IQNA) - Wananchi Waislamu wa Nigeria wameandamana katika mji mkuu wa nchi hiyo, Abuja, kulalamikia ukandamizaji dhidi ya Waislamu wa madhehebu ya Shia katika Jamhuri ya Azerbaijan.
Habari ID: 3476235    Tarehe ya kuchapishwa : 2022/12/11

TEHRAN (IQNA) – Jamhuri ya Azerbaijan imewafungia watumizi wa inteneti nchini humo tovuti ya Shirika la Habari za Qur'ani la Kimataifa.
Habari ID: 3474473    Tarehe ya kuchapishwa : 2021/10/26

TEHRAN (IQNA) - Swala ya kwanza ya Ijumaa baada ya miaka 28 imeswaliwa leo katika msikiti wa kihistoria Yukhari Govhar Agha katika mji wa Shusha eneo linalozozaniwa baina ya Jamhuri ya Azeribajan na Armenia la Nagorno-Karabakh.
Habari ID: 3473357    Tarehe ya kuchapishwa : 2020/11/13

TEHRAN (IQNA) – Sauti ya adhana imesikika baada ya miaka 28 katika msikiti wa kihistoria Yukhari Govhar Agha katika mji wa Shusha ulioko eneo linalozozaniwa baina ya Jamhuri ya Azeribajan na Armenia la Nagorno-Karabakh.
Habari ID: 3473354    Tarehe ya kuchapishwa : 2020/11/12

Kiongozi Muadhamu wa Mapinduzi ya Kiislamu
IQNA-Kiongozi Muadhamu wa Mapinduzi ya Kiislamu amesema utawala wa Kizayuni wa Israel unalenga kuvuruga uhusiano mzuri wa Iran na nchi jirani ya Jamhuri ya Azerbaijan.
Habari ID: 3470881    Tarehe ya kuchapishwa : 2017/03/06